AHSANTE KWA KUTEMBELEA BLOG HII


I made this widget at MyFlashFetish.com.

Wednesday, May 5, 2010

WAKALI KATIKA POUZ


Mr Blue akiwa katika pouz na mkali Cyril. Hapa ni maeneo ya Msemo katika Hoteli ya kitalii Mtwara, hapa ni baada ya Blue kukamua katika show iliyofanyika katika ukumbi wa Blantyre Mtwara, Ndipo alipokutana na Cyril na kuchill maeneo haya. Hongera sana kwa show ya Blue aliyekamua na Abby Skillz.


Hapa ni katika moja ya pouz za maeneo ya ufukweni dah! inapendeza sana. Karibuni Mtwara wadau muone maeneo ya kuvutia ambayo ukiwa huku utajisikia uko nyumbani huu ndio Mpango mzima unangoja nini? Tembelea Mtwara sasa utapata kile unachostahili kupata. Big up tena kwa blue na crew yake nzima kwani tunaamini watasaidia kuutangaza mkoa wa Mtwara have a gud time man.

1 comments:

  1. THANKS WANGU , HV NILIKUA NATAKA KUJUA MTWARA BARABARA IKO VP MANA NATAKA KUJA NA GARI NDOGO TOYOTA COROLA NAWEZA KUFIKA AU NDO KM ZAMANI BARABARA MBOVU !

    ReplyDelete